iCtory

Personal Experience

Personal Experience

TANZANIA: TAJIRI WA ARDHI, MASKINI WA MWELEKEO — TUNAKWAMA WAPI? SEHEMU YA KWANZA

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika falsafa yake ya maendeleo, alisisitiza misingi minne muhimu ya maendeleo ya taifa: watu, ardhi, sera nzuri na uongozi bora. Misingi hii inaendelea kuwa muhimu katika kutathmini safari ya maendeleo ya Tanzania.

Slavic mayengela
Nov 13, 2026 1 min read
Cover for TANZANIA: TAJIRI WA ARDHI, MASKINI WA MWELEKEO — TUNAKWAMA WAPI? SEHEMU YA KWANZA

Not the end, just a new beginning.

Na hatuwezi kusema tumepiga hatua kubwa ikiwa mafanikio tunayojivunia hayaonekani katika maisha ya wananchi wa kawaida.

Labda swali kubwa ambalo kila Mtanzania anapaswa kujiuliza si kwamba tuna utajiri kiasi gani, bali ni hili:

Je, tunatumia vizuri misingi tuliyonayo ili kuhakikisha kuwa utajiri wa Tanzania unawanufaisha Watanzania?

Maendeleo si zawadi kutoka kwa viongozi kwenda kwa wananchi. Ni matokeo ya mfumo mzima wa taifa kufanya kazi kwa misingi ya haki, uwajibikaji, umoja na matumizi sahihi ya rasilimali.

ITAENDELEA… SEHEMU YA PILI KATIKA ANDIKO LIJALO.

Comments 0

No comments yet. Be the first to respond.
Log in to add a comment.

Written by

Slavic mayengela
2 followers @slavic

eacher | 🌱 Farmer | ✊ Activist 📚 Educating minds | 🌾 Growing food 🌍 Advocating for positive change 🇹🇿 Tanzania